RAIS DK.MWINYI AONGOZA MAADHIMISHO YA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1444 HIJRIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itatoa tamko kuifanya siku ya mwaka mpya wa kiislamu kuwa ya mapumziko. Aliyasema hayo jana katika kongamano la maadhimisho ya mwaka mpya wa kiislamu 1444, lililofanyika msikiti wa Jamiu Zinjibar, Mazizini. Aidha alisema, maadhimisho hayo yatafanyika kwa mzunguko  kati ya Unguja